Muulize swali mgombea.

Thursday 21 June 2007
Wadau kuanzia sasa mnaruhusiwa kumtwanga swali lolote mgombea linalohusiana na nafasi anayoomba, swali na jibu vitabandikwa hapa katika ukurasa mkuu.

Karibuni.
 
© Blogu Tanzania | Tarehe: 6/21/2007 |

Maoni: 3

  Tarehe: 22 June 2007 at 16:01 Anonymous Anonymous Anasema:
Mimi naomba kuuliza, hivi sio muhimu viongozi wakawa wa Tanzania?naona wengine ni majirani zetu wa Burundi/Rwanda nao wamo!kama ni hivyo si waende kwao wakaanzishe.Samahani kama nitakuwa nimemkweza mtu.
  Tarehe: 27 June 2007 at 12:58 Anonymous Anonymous Anasema:
Angalia blogu hiyo. Anzeni kuongea http://conscious-revolution.blogspot.com
  Tarehe: 29 June 2007 at 07:42 Blogger luihamu Anasema:
Hivi siku inaanza saa ngapi?kamati ya maandalizi ilitoa siku mbili rasmi za kupiga kura Ijumaa na Jumamosi lakini mpaka sasa hivi wale tuliowahi kuja kupiga kura tumekuta mambo bado.

Nilitegemea kamati ya maandalizi ingetoa kurasa ya kupigia kura saa tano na dakika hamsini na tisa Alhamisi.

Leo ni Ijumaa nipo ofisini na nisaa 7:40 asubuhi bado sijaweza kupiga kura.

NO HURRY IN AFRICA,JAH BLESS.