Kuhusu Tulipofikia!
Monday, 29 October 2007
Katiba itapandishwa siku chache zijazo ikiingiza mambo yaliyoshauriwa hapo chini.Kumbuka unaruhusiwa kuikosoa kabla ya wote kutamka tumeikubali . Ikikubalika , itapandishwa pia kwa kiingereza.
Samahani wote kwa ukimya kidogo!
Tuko Pamoja!
Samahani wote kwa ukimya kidogo!
Tuko Pamoja!
Maoni: 9
one of the forgotten page(kurasa iliyo sahaulika)kweli hata kupandisha habari kutoka katika blogu za wanajumuwata imeshindikana katika hii kurasa.Tunachoambiwa kila siku mambo yako jikoni sasa hicho chakula kitalika kweli?Tunaweza kuboresha hii kurasa sisi wenyewe kwa kupitia blogu zote za wanajumuwata na kupandisha habari mpya katika kurasa ya jumuwata.wanajumuwata mpo kweli? Viongozi lazima wawajibike,leo hii hata kamati bado?tumekwama wapi?kila siku subirini kidogo,it is too much now.Anyway kwani kazi ya Jumuwata ni nini?kama sikosei,jumuwata ilipitisha siku ya blogu Tanzania lakini kilichotokea ni nini,hii kurasa ya jumuwata haikuwa na habari yoyote ya siku ya blogu Tanzania,tujiulize jamani tumekwama wapi?Tumechangia katiba lakini hakuna jipya kutoka kwa viongozi sasa hatujui kama maoni yetu yamekubalika au vipi.Huu ni mtazamo wangu.
Rsta nakuunga mkono,THE 4GO10 PAGE.
ZIKO WAPI KAMATI,JE KATIBA IMEKAMILIKA?
ZIKO WAPI KAMATI,JE KATIBA IMEKAMILIKA?
NAOMBA VIONGOZI WA JUMUWATA WAJIUZULU PILI NAOMBA HII KURASA IFUNGWE MPAKA PALE TUTAKAPOKUWA TAYARI TATU NDUGU YANGU LUIHAM UMEJITAHIDI LAKINI WAMEKUGEUZIA KISOGO TAFUTA USTARABU MWINGINE.
Jamani kumetokea nini kwenye blogu ya Ndesanjo Macha? Ni kama wiki kadhaa sasa naona kuna matangazo ya ajabu ajabu, kiasi kwamba sioni makala zozote kama tulivyozoea kuziona. Mwenye ufahamu naomba anifahamishe tafadhali.
Je Tumekwama Wapi?
Rasta hapa.
Rasta hapa.
vipi wandugu mbona kimya sana. Au ndio kama walivyosema wahenga- kimya kikuu...
Dah!
nasalimia na kuonyesha kuwa nami nipo.
Rasta hapa.