Samahani kwa kuchelewa kupandisha KIFUATACHO!
Monday, 16 March 2009
Nilipata tatizo kidogo ku access site hii jana!
Nashughulikia nilichoahidi kiwe kimepandishwa jana!
Samahani kwa kuchelewa!
Karibu baadaye !
Simon.
Nashughulikia nilichoahidi kiwe kimepandishwa jana!
Samahani kwa kuchelewa!
Karibu baadaye !
Simon.
Maoni: 9
« Rudi Mwanzo
Post a Commentmkuu natumai haitachukuwa miaka.
Katibu pole sana kwa jitihada ambazo bila shaka zinakugharimu muda mwingi.
nahesabu siku.
leo ni siku ya pili tangu katibu kuhaidi utapandisha hitimisho.
amani.
leo ni siku ya pili tangu katibu kuhaidi utapandisha hitimisho.
amani.
leo siku ya tatu.
mkuu simon,ni vema utuambie haiwezekani kuliko kutuambi muda si mrefu,
km mnona hamuwezi basi tutafute mtu mwingine awe na acess ya hii kurasa.
mimi napendekeza Mkuu Bwaya hapewe haya majuku ndio maana alianzisha mjadala pale kwake lakini wewe ukatuambia uaanzisha huku.
naomba hili jukumu apewe mtu mwingine.

pole nasi tunakusubiri
samahani,
leo ni siku ya sita bado tuko gizani.
mkuu kwakweli kama unapata nafasi na unablogy katika blogu yako kwanini inakuwa vigumu kupata nafasi hapa?
mimi nadhani sitoweza kusubiri kama mmeshindwa tuwape watu waendeshi huu mjadala.
rasta hapa.

Shukrani kwa Bwaya kwa kufufua vugu vugu la jumuiya.Ndugu katibu na uongozi wote tupo pamoja.
Muda huu ni saa 1 na dk 27 baada ya siku ya 10.....
Ni wazo zuri, likifanyiwa kazi kwa kumaanisha na umakini laweza tengeneza kitu kizuri hapo baadaye.