Nembo Namba 1

Saturday 31 March 2007
Wanablogu, hapa chini ni nembo ambazo zimeanza kuingia mashindanoni. Nembo hii itajulikana kama nembo namba 1. Shindano ndiyo limeanza, karibuni wote.




 
© Blogu Tanzania | Tarehe: 3/31/2007 |

Maoni: 5

  Tarehe: 4 April 2007 at 07:47 Blogger luihamu Anasema:
Da Mija nimetuma nembo mbili.
  Tarehe: 7 April 2007 at 19:18 Anonymous Anonymous Anasema:
Ushauri tu, Mtu hawezi kukaa siku nzima kutengeneza nembo mwisho usimpe Credit anayo itaji kupewa. Hivyo mwanzo mpeni namba lakini mkianza kutumia ni lazima mumpe Credit zake kwamba ni nani aliye tengeneza.
Kwa ushauri tu nadhani hatuwezi kupigia kura nembo moja moja. Mtazamo wangu kama mwananchi wa kawaida (sio mwanakamati), nadhani tungetoa muda wa wiki moja kila mwenye kuweza kuchora achore na kutuma nembo yake, kisha wiki inayofuatia nembo hizo ziwekwe kwa pamoja zikiwa na namba kama 1, 2, 3 nk. Halafu baada ya hapo mtu atakuwa anaangalia ni namba ipi anaipenda na anaichagua hiyo kwenye sanduku la maoni. Mwisho wa siku, tutaangalia zile zilizopigiwa kura nyingi zinachujwa na hadi kupata inayofaa. hapa tutachagua kwa kulinganisha na wapi?

MUHIMU: KAMA TUKIKUBALIANA KATIKA HILI, NI VTYEMA PIA TUKUMBUKE KUWA WAUNGWANA KATIKA UPIGAJI KURA, KWA MAANA MTU ANACHAGUA NAMBA FULANI BASI NA SIO KUCHAGUA NAMBA NYINGI, HILI LITAMAANISHA KUHARIBIKA KWA KURA YA MHUSIKA. KURA ITAKAYOHESABIKA NI ILE AMBAYO IMECHAGUA NAMBA TU, SANASANA NA MAELEZO KIDOGO KWA AJILI YA KUTETEA KWANINI AMECHAGUA HIYO.

ni mtazamo tu.
  Tarehe: 19 April 2007 at 04:42 Anonymous Anonymous Anasema:
Ushauri tu, Mtu hawezi kukaa siku nzima kutengeneza nembo mwisho usimpe Credit anayo itaji kupewa. Hivyo mwanzo mpeni namba lakini mkianza kutumia ni lazima mumpe Credit zake kwamba ni nani aliye tengeneza.
  Tarehe: 11 May 2007 at 13:20 Anonymous Anonymous Anasema:
Haisomeki vizuri.