Nembo Namba 2.

Sunday, 15 April 2007

 
© Blogu Tanzania | Tarehe: 4/15/2007 |

Maoni: 10

  Tarehe: 17 April 2007 at 02:17 Anonymous Anonymous Anasema:
i like it
kwakweli ni nzuri sana. maoni yangu ya awali mliyapata waungwana (sio wale wa kigoma lakini),
Wajanja na maswala haya zidini basi kutuletea nembo tuwe na chaguo kubwa.
Katika hizi nimeipenda ya chini kabisa.Lakini kwanini tusiwena mtu wanne mweusi katika nembo hiiakipozi naau wa orenji,kijani na blue?
  Tarehe: 19 April 2007 at 15:54 Anonymous Anonymous Anasema:
kazi nzuri sana waungwana, naungana na kitururu hapo juu,wajuzi wa maswla haya waendelee kutelemsha vitu kupanua uwanja wa uchaguzi
  Tarehe: 20 April 2007 at 01:48 Anonymous Anonymous Anasema:
Aliyefanya kazi hii, amefanya kazi nzuri sana.
This comment has been removed by the author.
  Tarehe: 10 May 2007 at 10:16 Anonymous Anonymous Anasema:
Nimeipenda hiyo ya kwanza yenye jina la jumuiya kwa kifupi na kirefu. Kazi nzuri sana.
Nembo namba tatu katika mfululizo huu imetulia, ila inahitaji marekebisho kidogo. Iwe na maneno ya "Jumuiya ya Wanablogu Tanzania", kama ilivyo hio ya kwanza. Mpaka hapo nadhani itakuwa imekaa vyema sana.
Nimeipenda nembo ya kwanza. Inavutia na pia yale maneno chini yake ndo yamemaliza kila kitu.

Aliyeiandaa anastahili pongezi kwa kazi murua.
Nimeikubali nembo ya kwanza.

Tunaomba pia Blogu yetu Jielimishe Kwanza! iwepo kwenye orodha yenu.
Pitia: www.jielimishekwanza.blogspot.com