Leo na Kesho ni siku ya kupiga kura.

Friday, 29 June 2007
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, wadau na wanablogu wote karibu hapa katika kupiga kura kuwachagua viongozi wa Jumuiya yetu pamoja na nembo ya Jumuiya ambazo ziko chini kabisa katika blogu hii, uchaguzi wa nembo unaenda kwa namba chagua namba ya nembo na basi unakuwa umemaliza mchezo.

Tunaomba tuzingatie kanuni za upigaji kura ili mambo yaende kama yalivyopangwa.

Karibuni wote.
 
© Blogu Tanzania | Tarehe: 6/29/2007 |

Maoni: 0