YAHYA POLI (KAKA POLI)- NAFASI YA KATIBU

Thursday, 14 June 2007


Wasifu
Jina: Yahya Poli [Kaka Poli]
Umri: Miaka 28
Kazi: Volunteer - Kituo cha Sheria na Hakiza Binadamu,
Uhusiano: Sijaoa - Mtoto 1 [Nadia Poli]
Blogu: Nimeanza kublogu tangu mwaka 2005

Kwa nini unagombea nafasi unayoomba.

Nina dhamira ya kutumia kipaji changu cha uhamasishaji na oganaizesheni kwa kuwahamasisha watu wengi zaidi hasa wanamapinduzi kushiriki katika kublogu kwa ajili ya kuleta mapinduzi ya kweli nchini kwetu. Nini unatarajia kufanya katika kuikuza Jumuiya.Nitahakikisha nashirikiana na wadau wengine wote katika blogu ili kutimiza wajibu wangu!

Blogu: http://www.mawazo-huru.blogspot.com/
 
© Blogu Tanzania | Tarehe: 6/14/2007 |

Maoni: 8

  Tarehe: 14 June 2007 at 16:45 Anonymous Anonymous Anasema:
Ni furaha yangu kuona bado tunajitokeza, karibu sana Poli
  Tarehe: 14 June 2007 at 19:57 Blogger luihamu Anasema:
Kaka Poli karibusana.

Nuff Nuff Respect.
Tuko pamoja!Karibu sana Mzee!
  Tarehe: 15 June 2007 at 14:28 Anonymous Anonymous Anasema:
kwani mwisho wa wagombea kujitokeza ni lini? Au tupo kwenye stoppage time?
  Tarehe: 16 June 2007 at 09:07 Blogger Mkina Anasema:
Karibu sana Kaka Poli na unakaribishwa kwenye sekta ya upashanaji habari yenye mawazo huru na isiyohitaji kukataliwa na watu wanaojiita wahariri.Kampeni ndiyo zimeruhusiwa, pambana. Naomba kura yako mzee, nagombea uenyekiti.Tuko pamoja
Ahsanteni sana wote ambao mmeniunga mkono kwa namna moja au nyingine. Tupo pamoja katiak harakati za kuleta mapinduzi ya kweli.

Ukitaka kuibadili jamii - kimtazamo! Anza na wewe mwenyewe!"
  Tarehe: 20 June 2007 at 14:21 Anonymous Anonymous Anasema:
Karibu Kaka Pori. Nimekuona kwenye mtandao ule wa vijana duniani ukituwakilisha. Hongera. Kila la heri.
Ahsante Kaka Macha,

Kwa wadau wengine wote, mimi ni mwanachama wa TIG (Taking IT Global),Youth Peer (Y-Peer) na ni 'National Focal Point wa Mtandao wa Dunia wa Vijana Dhidi ya UKIMWI (Global Youth Coalition on AIDS [GYCA]). Tuwasiliane kwa anuani hii: dr_pori@yahoo.com

Karibuni!!