TAFADHALI WEKA TANGAZO KWENYE BLOGU YAKO, LA KUWAFAHAMISHA WATU KUHUSU OMBI LA MCHANGO WA MAWAZO YAO HAPA KATIKA JUMUWATA.

Tuesday, 18 September 2007
Mchango wako unahitajika sana wewe mwenye blogu na hata usiye na blogu ilikujenga muelekeo uliochangiwa na wengi na sio kikundi cha watu wachache.

Karibu uchangie, kosoa,kemea,shauri, ondoa, .... ilikupata muelekeo na jumuiya ya wanablogu Tanzania unayoweza kujivunia.


Kama unablogu tunaomba uweke tangazo la kuwafahamisha watu kuhusu ombi la mchango wao wa mawazo hapa ili liwezekuwafikia watu wengi.

KARIBUNI WOTE!
Uongozi.
 
© Blogu Tanzania | Tarehe: 9/18/2007 |

Maoni: 4

  Tarehe: 19 September 2007 at 12:21 Anonymous Anonymous Anasema:
Tangazo hili ni muhimu sana, naupongeza Uongozi wa JUMUWATA kwa kuliona hili. Ili kuwaunga mkono leo hii nimeweka TANGAZO hili kwenye BLOGU yangu
hodi hapa. mimi ni mwanablog kwa muda sasa na ninaendesha blog iitwayo; kamalaluta.blogspot.com hii ni blog ya kitz inayojaribu kujihusisha na kundi linaloonekana kusahaulika yaani kundi la vijana. pamoja na kwamba ni sehemu ya jamii lakini vijana wanahitaji kupewa kipaumbele kwani ndio wengi na ndio tanzania ya leo na kesho, wana uhakika wa kuishi muda mrefu ujao ukilinganisha na wazee.
nitembelee nami nahaidi kujiunga nanyi endepo mtanikaribisha
ahsanteni
@Kamala: Karibu Mkuu!Nyumba(JUMUWATA) ndio kwanza inajengwa, karibu ujenzini.
jamani muda wa kujadili katiba nadhani umetosha, lipande tangazo la kupandisha katiba kwa mujibu wa ilivyoboreshwa na wadau, kisha maisha yaendelee